KwanzaPOS ERP inakupa udhibiti kamili wa mauzo ya kila siku, usimamizi wa stoo, madeni ya wateja na ripoti za faida papo hapo kupitia simu, tablet au kompyuta yako. KwanzaPOS ERP gives you complete control over daily sales, inventory management, customer debts, and real-time profit reports via phone, tablet, or PC.
⭐ Zaidi ya biashara 500+ nchini zinatumia KwanzaPOS kukuza mauzo yao. ⭐ Over 500+ businesses across the country trust KwanzaPOS.
Zana rahisi lakini zenye nguvu zilizoundwa maalum kwa ajili ya mazingira ya biashara za Kitanzania. Simple yet powerful tools designed specifically for the East African business ecosystem.
Kata risiti, fanya mauzo haraka kwa skana au jina la bidhaa, na pokea malipo ya Cash, M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au Benki. Issue receipts, sell fast using barcode scanners or item names, and accept Cash, Mobile Money or Cards.
Pata taarifa za bidhaa zilizobaki, zilizokaribia kuisha, na kuzuia upotevu wa mali kwenye duka au stoo yako. Track real-time stock levels, receive low stock alerts, and eliminate stock theft and leakage.
Jua wateja wanaokudai na unaowadai, tarehe za malipo, na tuma vikumbusho kwa ujumbe mfupi (SMS). Manage customer credit balance, repayment schedules, and send automatic SMS payment reminders.
Tazama faida halisi ya kila siku, wiki au mwezi bila kuhitaji mhasibu au kupiga mahesabu magumu. View real net profit daily, weekly, or monthly without complex accounting spreadsheets.
Endelea kuuza hata mtandao ukikatika; data zako zitajisawazisha kiotomatiki mtandao ukirudi. Keep selling uninterrupted even when internet drops out; offline sales auto-sync when connection restores.
Wape wafanyakazi wako akaunti zenye mipaka (permissions) ili kulinda siri za faida na mali za biashara yako. Assign custom role permissions for cashiers and managers to protect business profit figures.
Kila bidhaa, chupa ya kinywaji, au chumba kinachouzwa kinarekodiwa papo hapo. Hakuna uwezekano wa mfanyakazi kufuta risiti au kuuza bila stoo kupungua. Every sale, bottle, or room booked is recorded instantly. Staff cannot delete receipts or sell stock without audit trails.
Kata risiti na pokea wateja ndani ya sekunde 3. Mtandao ukikatika au umeme ukizima, unaendelea na kazi na data zinasawazishwa kiotomatiki. Issue receipts in 3 seconds. When internet drops or power fails, business continues uninterrupted with auto cloud-sync.
Huna haja ya kukaa dukani au hotelini mchana kutwa. Fungua simu yako na utazame mauzo, hesabu ya fedha mkononi na faida ya siku. No need to sit at the shop all day. Open your phone anywhere in the world and view live revenue, cash, and net profit.
KwanzaERP inaleta suluhisho la kisasa linalounganisha mapokezi ya hoteli (Front Desk), vyumba (Housekeeping), jikoni (KOT), na mauzo ya vinywaji (Bar POS) bila kuchanganya mahesabu. Seamlessly connect your front desk, room reservations, kitchen orders, and bar point of sale in one unified platform.
Check-in na Check-out ya haraka, kalenda ya vyumba wazi (Available), vilivyokaliwa (Occupied), na vinavyofanyiwa usafi (Cleaning). Instant Check-in & Check-out, interactive room calendar, live status tracking (Available, Occupied, Cleaning, Maintenance).
Kasi ya ajabu ya kuhudumia vinywaji, kufungua bili za meza (Open Tabs), kugawanya bili (Split Bills), na kukata stoo ya vinywaji mara moja. Lightning-fast drink ordering, table tab tracking, split billing by seat or customer, and instant bottle/shot inventory deductions.
Oda inapochukuliwa na muhudumu, inachapishwa jikoni moja kwa moja (KOT) kwa wapishi kuanza maandalizi mara moja bila kelele. Orders sent by waitstaff instantly print at the kitchen printer or display on chef screens (KOT) for streamlined kitchen workflow.
Mgeni akinywa au kula chumbani, gharama inaongezwa kiotomatiki kwenye bili ya chumba chake ili kulipwa mara moja anapoondoka. Post restaurant, bar, laundry, and room service charges directly to the guest room folio for single-invoice settlement at checkout.
Wasiliana nasi moja kwa moja kwa WhatsApp au Piga 0759617533 ili upate maelekezo, usanidiwe mfumo na kuanza majaribio ya bure kwenye biashara yako leo. Get in touch directly via WhatsApp or Call 0759617533 for live onboarding, custom setup, and free trial access today.
Vifurushi Rahisi vya Kila Mwezi na Kila Mwaka Transparent Pricing — Monthly & Annual
Lipa kwa urahisi kupitia namba 0759617533 na uwashe mfumo papo hapo. Flexible payment via 0759617533 with instant account activation.
Fanya malipo ya kifurushi chako (kwa M-Pesa / Tigo Pesa / Airtel Money / Benki kwenda 0759617533), kisha wasiliana nasi kwa WhatsApp au Piga simu ili kuwezeshwa kutumia mfumo mara moja. Make payment for your preferred plan to 0759617533, then contact us via WhatsApp or Call to get instant access granted.
Standard ERP Plan
Dedicated plan for Pub Management
Best for small shops and single-branch retail.
Free 30-day trial with all Complete Suite features
Best for growing businesses requiring tax compliance and AI assistance.
Standard retail POS and inventory management for stores.
Best for large-scale operations requiring maximum limits and full ERP capabilities.
Retail features plus Bar POS with kitchen tickets and bill splitting.
Dedicated solution for Gold Dealers with specialized stock ledgers and price automation. Includes all Pro features.
Retail, Bar POS, and full Hospitality/Hotel management modules.
Dedicated solution for Hospitality with Bar, Shift, and Property Management. Includes all Pro features.
Hapana! KwanzaPOS ERP inafanya kazi kwenye simu yoyote ya Android, iPhone, Tablet au Kompyuta ya kawaida kupitia kivinjari au app yetu. No! KwanzaPOS ERP works seamlessly on any Android phone, iPhone, Tablet, or PC via browser or app.
Ndiyo, mfumo una hali ya Offline inayokuwezesha kuendelea kuuza, na data zitasawazishwa mtandao ukipatikana. Yes! The system includes an Offline Mode that allows uninterrupted sales recording. All data syncs automatically once back online.
Data zako zinalindwa kwa teknolojia ya encryption ya kisasa na kuhifadhiwa kwenye Cloud salama kwa nakala rudufu (backups) za kila siku. Your data is protected with enterprise encryption protocols and backed up daily in secure cloud servers.